Burudani

VIDEO:Mastaa wamezungumzia TBL kushinda tuzo yenye thamani ya bilioni 2

on

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) imeendelea kuionesha Tuzo ya kimataifa ya Kizibo Cha Dhahabu (IGCA) inayomaanisha Ubora wa Kimataifa kutokana na uzalishaji wa bidhaa zake bora kwa Watanzania ambapo hapo jana Tuzo hiyo iliwekwa Buguruni Dar es Salaam

Tuzo hiyo ambayo kwa mara ya kwanza imwkuja Afrika inakadiriwa kuwa na uzito wa kilo kilo 16.01 za dhahabu ambayo kwa bei za kimataifa ni sawa na Bilioni 2 za kitanzania. Miongoni mwa mastaa walioshuhudia tuzo hiyo ni Dude, Johari Ebitoke

Soma na hizi

Tupia Comments