Habari za Mastaa

VIDEO:Mbele ya Madam Rita, Mshindi wa BSS 2019 afunguka kilichomkuta mwanzo mwisho

on

Zimepita wiki kadhaa  baada ya Mshindi wa BSS 2019 kwenda kulalamika kwa Naibu Waziri wa habari utamaduni Sanaa na Michezo Juliana Shonza kuwa hajalipwa fedha zake alizoahidiwa baada ya kuwa Mshindi wa BSS 2019.

Sasa leo Mei 14, 2020 Madam Rita akiwa na mshindi huyo wa BSS 2019 wamezungumza mbele ya waandishi wa habari kueleza yale tusiyoyajua, bonyeza hii link hapa kutazama kilichojiri.

ALIKIBA KAFUNGUKA ISHU YA KUTOKA NA DIVA KIMAPENZI BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA KAMA ULIIKOSA

 

Soma na hizi

Tupia Comments