Top Stories

VIDEO:Mbunge Silinde afunguka kufukuzwa Chadema ‘Ni Uamuzi wa kitoto, mbowe ajitafakari’

on

NI Mei 11, 2020 ambapo  Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilitangaza kuwafukuza uanachama wabunge wanne akiwemo Mbunge Mbunge Silinde

Kitu ambacho kimenishangaza ni uamuzi wa kitoto wa CHADEMA, huwezi kumfukuza Mtu ambaye haujamuita hujampa mashtaka yake maana mambo yote nilipaswa kuelezwa kwamba kosa lako ni hili, kuna utaratibu wa kumhukumu Mbunge, huo utaratibu haujafanywa”-SILINDE

LICHA YA KUFUKUZWA CHADEMA, LWAKATARE ASIMAMA BUNGENI NA KUTOA HOJA ZAKE WIZARA YA ARDHI

Soma na hizi

Tupia Comments