Top Stories

VIDEO:Meza moja Masoud Kipanya na Shekh Kipozeo ‘Nguvu za kiume zinapungua michepuko wengi’

on

NI Headlines za Shekh Kipozeo ambapo leo Mei 27, 2020 ametangazwa kuwa balozi wa Naweza inayohusika kuelezea masuala ya Afya katika majukwaa mbalimbali yatakayoanza hivi karibuni.

Sasa Sheikh Kipozeo baada ya kupata shavu hilo alizungumza mengi yakiwemo masuala ya Nguvu za Kiume kupungua na nini kifanyike , itazame hii video hapa ujionee akizungumza mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments