Top Stories

Video:Mgombea Urais UPDP akiwa Mbeya ‘Nilijiandikisha nikiwa Dar’

on

Ikiwa Leo October 28, 2020 ni siku ya upigaji kura Tanzania kumchagua kiongozi sahihi atakaeleta maendelea, sasa hapa nimeinasa hii video mgombea urais kupitia Chama Cha UPDP, Twalib Kadege akiwa ameenda katika kituo cha kupiga kura Mbeya Mjini.
Mimi nilijiandikishia Dar katika kata ya Mabibo kwahiyo wakati natoka nyumbani kuelekea Kigoma kuna baadhi ya Document nilizisahau kwahiyo nimekuja na kadi ya NIDA kwahiyo mimi kama mgombea wa URAIS naruhusiwa popote kupiga kura hakuna kizuizi chochote kura nitapiga’- Mgombea URAIS UPDP
‘Hakuna vurugu wala vitisho na mategemeo yangu kwamba wananchi watapiga kura na kuhakikisha wanatapata viongozi waliosahihi katika kuongoza sehemu zao’- URAIS UPDP

 

KUTOKA ZANZIBAR: MAALIM SEIF NA MWINYI WALIVYO WAZUNGUMZA BAADA YA KUPIGA KURA

Soma na hizi

Tupia Comments