Top Stories

VIDEO:Mizinga 21 ya kijeshi imepigwa kwa heshima ya hayati Mkapa

on

NI July 29, 2020 ambapo yamefanyika mazishi ya Rais Mstaafu Mheshimiwa, Benjamini William Mkapa huko nyumbani kwao Lupaso Mtwara, sasa hapa nimekuwekea video ikiwaonesha wanajeshi wakipiga Mizinga 21 kama heshima kwa hayati Benjamini William Mkapa.

ITAZAME HII RAIS MAGUFULI, MWINYI, KIKWETE WAKIWEKA KWENYE KABURI LA HAYATI BENJAMINI WILLIAM MKAPA

Soma na hizi

Tupia Comments