Ad
Ad

Top Stories

Video:Mjengo anaoishi Nandy Mbezi Beach analipa Milioni 2.5 kwa mwezi,anaishi na Bilnas?

on

NI Headlines za mwimbaji kutokea Bongo Flevani, Nandy ambae leo amezindua wimbo wake mpya aliyomshirikisha Koffi Olamide uitwao Leo mbele ya Waandishi wa habari nyumbani kwake Mbezi Beach Dar es Salaam.

Sasa Ayo TV & Millardayo.com ilifanikiwa kuzungumza na Dada yake Nandy & Meneja yake kuhusu yake tusiyoyaju…’Wimbo ni mzuri tunashukuru leo tumeuzindua rasmi hapa mbele ya waandishi wa habari na mapokezi ni mazuri’- Dada yake Nandy

Aidha Dada yake na Nandy pia alifunguka kuhusu Mjengo anaoishi Nandy na akasema..’Hapa ndipo anapoishi Nandy ambapo amepanga na analipa Milioni 2.5 kwa mwezi ila ana nyumba mbili  zipo zinaendelea na ujenzi moja ipo Mbweni na nyingine ipo Goba’– Dada yake Nandy

UNAWEZA UKABONYEZA PLAY KUMTAZAMA MENEJA NA DADA YAKE NANDY WAKIFUNGUKA

JIONEE MAUNO YA NANDY KWENYE UZINDUZI WA WIMBO WAKE MPYA ALIOMSHIRIKISHA KOFFI OLOMIDE

Tupia Comments