Ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambapo leo March 1, 2020 amefanya mkutano wa kuzungumza na watumishi wa Serikali mkoani TANGA, sasa nimeinasa hii alivyomuweka Kikaangoni Mkurugenzi tazam hii video ujionee mwanzo mwisho
KAMATI YA UKAGUZI “HUU NI UFISADI HUYU MFILISI HAIWEZEKANI AKAENAZO FEDHA ZA SERIKALI KIBABE”