Video Mpya

VideoMPYA: Alikiba kashirikishwa hii tena na msanii wa lebo yake

on

Kutoka Kings Music huyu hapa msanii Killy kamshirikisha king wa lebo hiyo Alikiba na mdundo unaitwa ‘Gubu’ Audio ya wimbo huu imetengenezwa na Producer Moko huku video ikitayarishwa na Director Ivan, location ikiwa ni Lushoto Tanga.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

VIDEO: ALIKIBA KAONGEA HAYA KUHUSU KUOA MKE WA PILI “KWANINI NISHINDWE”

Soma na hizi

Tupia Comments