Video Mpya

VideoMPYA: Baada ya ku-hit na Gozbert, Jolly Twins wametuletea ‘Uweponi mwako’

on

Ukitaja miongoni mwa Waimbaji wanaofanya vizuri kwa sasa ndani ya Gospel Tanzania huwezi kuwaacha Jolly Twins ambao awali waliotoa wimbo wao na Godluck Gozbert ‘Baba eeeh’ ambao ulifanya vizuri.

Leo August 3, 2020 wametuletea ‘Uweponi mwako’  imetayarishwa nchini Australi ambapo ndipo wanaishi karibu kuitazama.

Soma na hizi

Tupia Comments