Video Mpya

VideoMPYA: Beka Flavour kamuimbia Rais Magufuli ‘Hapa kazi’

on

Hapa kazi tu ni wimbo ulioimbwa na msanii Beka Flavour ambapo ndani ya wimbo huo  amesifia  mazuri yaliyofanywa na Rais wetu wa awamu ya tano Dr. John Pombe Magufuli katika kipindi hiki cha miaka mitano.

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video mpya ya wimbo huo

Soma na hizi

Tupia Comments