Video Mpya

VideoMPYA: Bunduki ya R-Chugga Davizo kamshirikisha Gigy Money ‘Sedere’

on

Leo March 4, 2020 Kutoka A. Town Arusha nakusogezea kwako Davizo baada ya kufanya hit song nyingi na wakina Gnako, Baraka De Prince, Chin Bees leo ametusogea ngoma aliyofanya na Gigy Money inaitwa ‘Sedere’

Ngoma imetengenezwa na Producer Goncha kutoka Wanene na video Director Jordan, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.

MBOWE AMEWAJUA WALIOMVAMIA KWAKE “KIONGOZI KAWATUMA, KAWANYWESHA POMBE”

Soma na hizi

Tupia Comments