Burudani

VideoMPYA: Burna Boy time hii kashirikishwa kwenye hii collabo

on

NI Msanii kutokea nchini Ufaransa aitwae DADJU ambae time hii ameamua kumshirikisha msanii wa Nigeria Burna BOY, wimbo unaitwa Donne moi.

Wimbo huo unapatikana pia katika album mpya ya DADJU iitwayo Poison ou Antidote, unaweza ukaitazama hapa

Soma na hizi

Tupia Comments