Video Mpya

VideoMPYA: Chin bees ametuletea hii inaitwa ‘Nasebenza’

on

Mkali wa muziki wa Trap ‘Chin Bees’ baada ya ukimya ndani ya miezi kumi toka aachie video yake ya Gusa, anakualika kutazama video ya wimbo wake Mpya unaitwa ‘Nasebenza’

Bonyeza Play hapo chini uitazame,

 

LIVE MAGAZETI: CHADEMA yafunguka kuhusu mgombea Urais, Serikali yamhoji Balozi Marekani

Soma na hizi

Tupia Comments