Habari za Mastaa

VideoMPYA: Christian Bella na Alikiba wamefanya hii baada ya miaka mitatu

on

Itazame hapa video ya wimbo mpya wa msanii Christian Bella na Alikiba wimbo unaitwa ‘Chaku’ kolabo hii inakuwa ni ya pili baada ya ile ya kwanza waliyoifanya miaka mitatu iliyopita ya wimbo ulioitwa ‘Nagharamia’.

BonyezaPLAY hapa chini kuitazama VIDEO.

VIDEO: Alikiba na Christian Bella walivyozindua video ya wimbo wao mpya

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments