Video Mpya

VideoMPYA: Dully Sykes katisha kwenye ‘Tisha baba’ kapewa shavu na Caby Nevarda

on

Ndani ya game ya bongofleva leo August 19, 2020 kuna ugeni wa Mwanadada Caby Nedvarda ambaye ameanza kwa kutuletea ‘Tisha baba’ akiwa ameshirikisha Dully Sykes, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama usisahau kuacha comment yako kwenye youtube channel yake ili aone umeipokeaje.

Soma na hizi

Tupia Comments