Habari za Mastaa

VideoMPYA: Ella Mai katuletea hii video mpya ‘Not Another Love song’

on

NI Mkali mwenye uraia wa Uingereza aishie Marekani mrembo Ella Mai (25) ambae Dunia ilimtambua baada ya kufanya vizuri kwenye hits single zake kadhaa zikiwemo, ‘Boo’d Up, Trip ambazo zilimpa airtime za kutosha hususani Kupitia kwenye charts za Billboard, sasa staa huyo ameachia video ya wimbo mpya uitwao Not Another.

Itazame hapa

Soma na hizi

Tupia Comments