Habari za Mastaa

VideoMPYA: Funga mwaka ya Mimi Mars hii hapa yupo na Mario na Young Lunya

on

Karibu kutazama kichupa kipya cha mrembo Mimi Mars kutokea Mdee music akiwa amewashirikisha wakali wawili wanaofanya vizuri kwa sasa Young Lunya na Marioo. Audio ya wimbo huu katayarisha mkali aliyewahi kutamba na ‘Nikagongee’ Baddest 47, PLAY hapa chini kuitazama Video.

VIDEO: Mwigizaji wa Kenya amefunguka alivyotoka kimapenzi na Alikiba na kumchora Tattoo

Soma na hizi

Tupia Comments