Video Mpya

VideoMPYA: Future Destin ft Stamina & Joel Lwaga “Ngoja”

on

Msanii wa muziki kutoka DR Congo, Future Destin anakukaribisha utazame video ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Ngoja’ akiwashirikisha wasanii kutokea Tanzania Stamina pamoja na mkali wa nyimbo za Injili Joel Lwaga.

Producer wa ngoma hii ni Ammy Wave na video hii imeongozwa na Director Beel, bonyeza PLAY kuitazama.

Soma na hizi

Tupia Comments