Video Mpya

VideoMPYA: Hatimaye Navy Kenzo wamerudi tena na kuileta ‘Magical’

on

Karibu kuitazama video ya wimbo mpya wa Navy Kenzo unaitwa ‘Magical’ wimbo ambao Aika alikuwa akiingia studio na kujirekodi part yake mwenyewe bila msaada wa mpenzi wake Nahreel ambaye ndiye producer wa wimbo huo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.

VIDEO: NAHREEL AMEFUNGUKA KUHUSU THE INDUSTRY STUDIO “SIFANYI TENA, PRODUCTION”

Soma na hizi

Tupia Comments