Video Mpya

VideoMPYA: Irene Robert kawakutanisha wakali wa gospel kutoka Kenya ‘Vilevile’

on

Mkali wa Muziki wa Injili Tanzania, Princess Irene Robert baada ya kuachia wimbo wa ‘Tembea’ mwishoni mwa mwaka jana, ameianza 2020 kwa kutuletea wimbo mpya kabisa uitwao ‘Vilevile’.

Katika wimbo amewashirikisha waimbaji kutoka Kenya Guardian Angel, Levixone na Gaby Kamanzi. 

TAARIFA YA CORONA ZANZIBAR “MARUFUKU NDEGE ZA WATALII KUTOKA ITALY KUINGIA ZANZIBAR”

Soma na hizi

Tupia Comments