Habari za Mastaa

VideoMPYA: Itazame ‘Bembeleza’ ya kwake Quick Rocka na Joh Makini

on

 Hatimaye Quick Rocka kasikia sauti ya mashabiki waliokuwa wake waliokuwa wakiulizia video ya wimbo wa ‘Bembeleza’ aliosmshirikisha Joh Makini. Ni wimbo wa mapenzi ambao unaweza kumsikilizisha yeyote umpendaye, Play hapo chini kuona video yake.

 

VIDEO: Tazama Mpoki akivunja watu mbavu

Soma na hizi

Tupia Comments