Video Mpya

VideoMPYA: Itazame hapa video Mpya ya Nay wa Mitego ‘Mungu anakuona’

on

Baada ya kuachia Audio ya wimbo wake wa ‘Mungu Anakuona’ Hatimaye leo Nay wa Mitego kaileta kwenu video ya wimbo huo alioimba na Mtafya. Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama VIDEO ambayo kwa sasa ishaingia trending ikiwa ni masaa machache toka aiachie video hiyo.

TAARIFA YA NAY WA MITEGO KUFIWA NA MTOTO WAKE, EX WAKE KAZUNGUMZA

Soma na hizi

Tupia Comments