Video Mpya

VideoMPYA: Juma Nature kapewa shavu na Ability kwenye ‘Chochea’

on

Nakusogezea moja ya wasanii wanaochipukia kwenye game ya bongofleva jamaa anaitwa Ability ameachia video ya wimbo wake ‘CHOCHEA’, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.

Soma na hizi

Tupia Comments