Video Mpya

VideoMPYA: Karibu 2021 kuipokea ‘Holy Spirit’ ya kwake Agness Link

on

Ni muda mwingine wa kupokea baraka za 2021 kupitia uimbaji ambapo leo nakusogezea wimbo wa Agness Link unaitwa ‘Holy Spirit’ ikiwa imeongozwa na IR Media, bonyeza PLAY hapa chini kutazama pia usisahau kuacha comment yako ili Agness akipita aone umepokeaje wimbo wake.

Soma na hizi

Tupia Comments