Video Mpya

VideoMPYA: Karibu Christina Shusho ameshirikishwa na Irene Robert kwenye ‘Sitalia’

on

Mwanadada Irene Robert akiwa ameshirikiana mkongwe Christina Shusho wametuletea wimbo mpya unaitwa ‘Sitalia’, video imeongozwa na na Director Joowzey, bonyeza PLAY hapa chini kutazama video hii, pia usisahau kuweka comment ili Irene akipita aone watu wameipokeaje video yake.

Soma na hizi

Tupia Comments