Ndani ya game ya bongofleva leo July 23, 2020 nakusogezea video mpya ya kwake Platform ngoma inaitwa ‘Yamesnishinda’ ikiwa imeongozwa na Producer mkongwe Adam Juma, karibu kuitazama kwa kubonyeza PLAY hapa chini pia usiache kuachia comment yako.
VideoMPYA: Karibu kuitazama hii ya Platform ‘Yamenishinda’ mkono wa Adam Juma

Leave a comment
Leave a comment