Rhino The Don ni mtanzania anaefanya Muziki nchini Marekani, leo ametuletea wimbo wake mpya ‘Nipe Moto’, Producer ni Kimambo, video imefanyika nchini Marekani, bonyeza PLAY hapa chini kutazama.
VideoMPYA: Karibu kuitazama ‘Nipe moto’ ya Rhiono the Don

Leave a comment
Leave a comment