Video Mpya

VideoMPYA: Karma ametuletea hii inaitwa ‘Bye wewe’

on

Leo Apri 23 2020 Msanii wa kutoka kwenye Nyumba ya vipaji THT. ‘Karma’ ametuletea Video yake mpya inaitwa ‘Bye wewe’ ambayo imetengenezwa na Directer mkongwe Adam Juma. anakualika kuitazama bonyeza Play hapo chini uitazame.

TAKUKURU YAFANYA UCHUNGUZI UBADHIRIFU WA FEDHA ZA HOSPITALI

Soma na hizi

Tupia Comments