Video Mpya

VideoMPYA: ‘Kazi na bata’ karibu uitazame ya kwake MedMEDKO

on

Kutokea Green city Mbeya nakusogezea moja ya wakali wanaofanya vizuri kwenye game ya bongofleva jamaa anaitwa MedMEDKO ameachia video ya wimbo wake ‘Kazi na Bata’ ikiwa imeongozwa na Posha Danta, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.

Soma na hizi

Tupia Comments