Top Stories

VideoMPYA: Kutoaka USA huyu hapa Solo Don Dada amekuletea ‘Stick’

on

Leo nakusogezea brand new video kutoka kwa Solo Don Dada akiwa amemshirikisha 4onzii, ngoma inaitwa ‘Stick’ mkono wa Producer Mastr na video imeongozwa na Henny Lamar, location kwenye hii video ni nchini Marekani

Soma na hizi

Tupia Comments