Habari za Mastaa

VideoMpya: Kutoka TMK, Chege amekuja na hii mpya

on

Huyu hapa Mkali kutokea maandishi matatu TMK, Chege Chigunda mtoto wa Mama Saidi ameileta kwenu ngoma mpya ambayo ni video, Wimbo unaitwa ‘Top Shatta’ Tayari amekuwekea YouTube unaweza kwenda kuutazama.

Bonyeza Play hapa chini kutazama video

JIONEE… FOLENI YA JANA USIKU DAR BAADA YA MVUA KUBWA ILIYONYESHA 

Soma na hizi

Tupia Comments