Video Mpya

VideoMPYA: Lulu Diva na Mr Blue wamekuja na hii ya kuitazama

on

Karibu kuitazama video ya wimbo mpya wa msanii Lulu Diva akiwa amemshirikisha Mr Blue wimbo unaitwa ‘Naogopa’ . Lulu Diva ameachia audio ya wimbo huu siku ya Ijumaa ya January 11 na kueleza kwamba ni wimbo ambao walirecord na Mr Blue toka mwaka jana lakini hawakutaka kuutoa haraka.

Bonyeza PLAY kutazama alichoimba Lulu Diva na Mr Blue

DORAH BAADA YA KUONA TAUSI KAPATA MTOTO “NITAMLIPA MWANAUME ANIPE MIMBA”

GABO BILA KUPEPESA MACHO WASANII KUUNGANA KUFANYA TAMTHILIA MOJA “HAITAKUWA NZURI”

Soma na hizi

Tupia Comments