Premier Bet SwahiliFlix Ad Halotel Ad

Habari za Mastaa

VideoMPYA: Mabibi na Mabwana….. ni Billnass na Nandy kwenye ngoma mpya ‘bugana’

on

Mabibi na Mabwana tunazo dakika tatu za ngoma jipya la Billnass ft. Nandy ‘bugana’……. bugana ni lugha ya kitaa ikimaanisha ‘pesa’ na ni ngoma ya kwanza kuvikutanisha hivi vichwa viwili, bonyeza play hapa chini kuitazama

EXCLUSIVE: “MTOTO WA MCHUNGAJI ALIEIMBA ‘SIJUI NIKAGONGEE NYAGI’ ASIMULIA HISTORIA YAKE, ‘NILIHAMA DAR KURUDI UYOLE KUUZA NGUO

“MWANAMKE ALIEPATA UJAUZITO BILA KULALA NA MWANAUME ASIMULIA” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments