Kutokea Green city Mbeya nakusogezea moja ya wakali wanaofanya vizuri kwenye game ya bongofleva jamaa anaitwa MedMEDKO ameachia video ya wimbo wake ‘WAJUMBE’, Director ni Mr.Azalia, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.
Video Mpya
VideoMPYA: MedMEDKO ametuletea ‘Wajumbe’ karibu uitazame
on
