Kama unajiuliza ngoma nzuri ya kuisikiliza weekend hii basi kuna hii mpya kutoka kwa Selekta Davizo staa wa muziki wa dance hall kutoka Arusha Tanzania ameufungua mwaka 2021 na wimbo wa “Kamata”
VideoMPYA: Mkali wa dancehall DJ Davizo ameleta ‘Kamata’

Leave a comment
Leave a comment