Video Mpya

VideoMPYA: Modeste Kuhani anakukaribisha kuitazama ‘Sina thamani’

on

Leo February 9, 2020 Jumapili karibu kuitazama video mpya ya mwimbaji wa injili Modeste Kuhani ambaye ni Mtanzania lakini anaishi nchini Marekani na ndipo anapofanyia kazi zake za uimbaji.

Wimbo unaitwa ‘Sina thamani’, Director wa video ni GM Brown, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama usisahau kuacha comment yako. 

“UPINZANI WABUNGE KUNA NDOA ZA JINSIA MOJA, TULIENI NACHOMA SINDANO”

Soma na hizi

Tupia Comments