Video Mpya

VideoMPYA: Mr. P hajataka Birthday yake ipite hivi hivi kaileta ‘Too late’

on

Ikiwa leo November 18, 2019 ni siku ya kuzaliwa ya msanii kutokea Nigeria Mr P ameamua kusherekea birthday yake kwa kuachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘Too Late’ Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama video

VIDEO: DJ ZIRO KAJITETEA “SICHUKUI MTONYO WA MSANII, TUNACHEZA NGOMA KALI”

Soma na hizi

Tupia Comments