Video Mpya

VideoMPYA: Mrembo Pety Nila anakukaribisha kuitazama ‘Unanidai’

on

Ni mwisho wa mwaka na Mastaa kwenye Bongofleva nao wamekua wakiachia hit baada ya hit, leo namsogeza kwako Mrembo Pety Nila ngoma inaitwa ‘Unanidai“, Director Trey Juelz, bonyeza PLAY hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments