Video Mpya

VideoMPYA: Nacha ametuletea hii nyingine inaitwa ‘Grow Up’

on

Mkali wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kahama Nacha ambaye anawaiwakilisha viziri Kanda ya Ziwa ametuletea huu mkwaju wake mwingine mpya unaitwa Grow Up anakukaribisha kuitazama.

Bonyeza Play hapo chini uitazame

BILA NOMA!! JAMAA ANALALA NA WAKE ZAKE CHUMBA KIMOJA MPAKA ASUBUHI

Soma na hizi

Tupia Comments