Msanii wa Bongo FLeva Nandy amefanya Remix ya wimbo wake wa Ninogeshe ambao kamuimba Rais John Pombe Magufuli ikiwemo yale aliyoyafanya kwenye uongozi wake. Nandy ameupa wimbo huo jina la ‘Magufuli’ . unaweza kutazama video hapa chini kwa kubonyeza PLAY.
SHILOLE KAFUNGUKA MA-X WAKE WALIOPITA “WALIKUWA MARIOO, ULIANZA ZAMANI”