Video Mpya

VideoMPYA: Ni Ambwene Yessayah ‘AY’ katuletea hii Dan’hela

on

NI Mkongwe kwenye muziki wa Bongo Fleva Ambwene Yessayah ambae time hii amechia rasmi video mpya ya wimbo wake uitwao Dan’hela.

Unaweza ukaitazame hapa kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita uone ulichomuandikia

Soma na hizi

Tupia Comments