Video Mpya

VideoMPYA: Mrembo Pety Nilla anakukaribisha kutazama ‘Dondosha’

on

Leo nakukaribisha uitazame ngoma ya mrembo anaetamba East Africa kwenye game ya Bongo fleva Pety Nilla wimbo wake unaitwa ‘Dondosha’, Producer ni  Kimambo, Director ni TREY JUELZ, bonyeza PLAY hapa chini kuitazama pia usisahau kuacha comment yako ili akipita aone umeipokeaje ngoma yake

Soma na hizi

Tupia Comments