Video Mpya

VideoMPYA: Rack Shotta ft Kilorita anakualika kuitazama “Nipe Tena”

on

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Rack Chotta ameachia video ya wimbo wake mpya wa ‘NIPE TENA’ akiwa amemshirikisha Kiloriti kutoka Arusha, video hii umesukwa na Producer Mr Class Tunnez, Huku Video ikiongozwa na Director Joowzey.

Soma na hizi

Tupia Comments