Habari za Mastaa

VideoMPYA: Shavu alilopewa Davido kwenye hii single mpya akiwemo French Montana

on

Kwasasa Davido anaendelea kujizolea collabo mbalimbali kutoka kwa Wasanii wa Marekani hususani wakubwa, tuliona ya mwisho akiwa ameshirikishwa na Fabolous iitwayo Choosy, sasa time hii amerudi tena ambapo Mkali kutokea Marekani Angel ameamua kuifanya remix ya Blessings na kuwashirikisha French Montana na Davido

Soma na hizi

Tupia Comments