Video Mpya

VideoMPYA: “Sijaokoka ila MUNGU ananibariki” ndani ya ngoma Game Boi ‘Sijaokoka’

on

Arusha Boy Music chini ya Gentriez Mwakitabu inamleta kwako Game Boi msanii wa kwanza kutambulishwa na Label hiyo, wimbo wa kwanza unaoachia na Game Boi ni ‘Sijaokoka’, Audio Producer ni Licky Touchiez ,video ikiwa imeongozwa na Director Nisher.

Soma na hizi

Tupia Comments