Burudani

VideoMPYA: Smash hit kutokea Nigeria Ckay akiwa na Joeboy & Kuami Eugene

on

NI Headlines msanii kutokea Nigeria anaendelea kukaa kwenye ramani ya muziki nchini humo,  CKay ambae time hii ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao Love Nwantiti aliyowashirikisha Joeboy & Kuami Eugene

Unaambiwa katika Top 10 za nyimbo bora zinazopigwa radioni nchini Nigeria basi na hii lazima ichezwe

Itazame hapa

Soma na hizi

Tupia Comments