Habari za Mastaa

VIDEO: Uchebe kafungua alivyotaka kumsuprise Shilole na Tattoo feki

on

Baada ya kusambaa video inayomuonesha Mume wa Shilole, Uchebe akichora Tattoo feki kifuani kwake na kuibua maswali mengi kwa mashabiki kuwa amewezaje kufanya hivyo wakati ni mtu wa swala tano..?

Sasa AyoTV Entertainment imezungumza na Uchebe ambaye amefunguka haya kuhusu hilo. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

HARMONIZE AUTOA WIMBO WAKE  WA BED ROOM  YOUTUBE KISA HIKI…!!

Soma na hizi

Tupia Comments