Habari za Mastaa

VideoMPYA: Wakali wa RNB ‘Usher na Ella Mai’ wametuletea hii mpya

on

NI Headlines za star kutokea Marekani aitwae Usher ambae time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake aliyomshirikisha Ella Mai uitwao Dont Waste My time.

Unaweza ukabonyeza play kujionea video hiyo mwanzo mwisho Dont Waste My Time (Shorter Version) 

Soma na hizi

Tupia Comments