Habari za Mastaa

Baada ya kimya kingi Black Eyed Peas wamerudi na ngoma mpya; “Yesterday” – (Video)

on

black2

Boom boom pow ni single ya kundi ya Black Eyed Peas iliyofanya vizuri sana sokoni, na kusherekea miaka 20 ya kufanya muziki mzuri Black Eyed Peas wamerudi na single mpya iitwayo Yesterday.

Wimbo huu una vibe flani ya old school hiphop na kama wewe ni mpenzi wa Techno music na HipHop pia basi good news kwako ni kwamba wimbo huu unakupa ladha zote mbili.

Nimekusogezea video ya wimbo huo hapa chini, bonyeza Play kuitazama.

https://youtu.be/anJYoItYeyM

Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.

Soma na hizi

Tupia Comments